NewsTrending

𝑼𝒁𝑰𝑵𝑫𝑼𝒁𝑰 𝑾𝑨 𝑩𝑨𝑹𝑨𝑩𝑨𝑹𝑨; 𝑰𝑫𝑨𝑲𝑯𝑶 𝒀𝑨 𝑲𝑨𝑻𝑰

Gavana Mchapakazi FCPA Fernandes Barasa ameongoza shuguli ya uzinduzi wa Barabara ya Ishiunga – Mto wa Shiasuli – Barabara ya Shule ya Msingi ya Irechelo leo mchana.

Mstahiki Gavana, akizungumza katika eneo hilo, alisema kwamba barabara hiyo itachochea biashara na ukulima eneo hilo kwa kuwezesha usafirishaji wa mazao, pembejeo na watu.

Barasa alipokelewa na Wawakilishi wa Wadi, ikiwemo Mhe. Archeadious Likhako Liyayi (Mwenyeji).