πΌππ°π΅π«πΌππ° πΎπ¨ π΄π¨π«π¨πΉπ¨πΊπ¨ ππ¨ πͺπ―π¬π²π¬πͺπ―π¬π¨; π°π«π¨π²π―πΆ ππ¨ π²π¨π»π°
Gavana Mchapakazi FCPA Fernandes Barasa amezindua madarasa ya chekechea katika Shule ya Irechelo, Idakho ya kati.
Walimu wa shule hiyo waliompokea kwa furaha, wamemshukuru gavana huyo kwa viti vya chekechea ambavyo serikali yake iligawa mwaka jana katika shule zote jimboni, kwani viliwafaidi.
Gavana Barasa amesema kwamba wadi zote sitini zitapata miradi kama hiyo, kwa kuzingatia Kauli Mbiu yake ya #MaendeleoNaUsawa.