Finance & Treasury
- CECM
- CHIEF OFFICERS
- FUNCTIONS OF THE ICT DEPARTMENT
- SERVICE MATRIX
- MKATABA WA KUHUDUMU
- DOWNLOADS
DR. LAWRENCE OMUHAKA
AG. CEC MEMBER FINANCE, ECONOMIC PLANNING, BUDGET, ICT, e-GOVERNMENT AND COMMNUNICATION
The department has four Chief Officers
- Jeophita Mwajuma - Chief Officer Finance, Budget & ICT
- Samson Otieno - Chief Officer Economic Planning
- Dr. Phitalis Masakhwe - Ag. Chief Communication
VISION
To be a leading county in the provision of ICT, e-government and communication services in Kenya.
Mission
To enable the county deliver quality services to its citizens through innovative application of technology.
Mandate
To design, develop and implement ICT, e-Government and communication systems with a view to improving efficiency in service delivery.
Core VALUES:
A - Accountability
T - Timeliness and Transparency
P - Professionalism
I - Integrity, Innovation and Inclusivity
C - Customer focus
Core Functions
- Formulate, interpret, implement and review ICT, e-Government and communication policies, strategic plans, guidelines and standards;
- Advise the County Government on matters related to ICT, e-Government and communication;
- Enhance access to government services through ICT, e-Government and communication;
- Improve interaction with stakeholders;
- Promote innovation and entrepreneurship through ICT;
- Establish, develop , maintain and promote use of ICT infrastructure and systems;
COMMITMENTS
- High integrity and security of County data and information;
- Transparency and accountability;
- Uphold service level agreements with clients and stakeholders;
- Reliable and efficient ICT infrastructure and systems Promotion of partnership with other stakeholders.
- Automation of county services
Obligation of our clients
In order to offer quality services, our clients have an obligation to:
- Familiarize themselves with policies, regulations and guidelines in regard to services offered;
- Provide complete and accurate information on services required
Rights of our clients
Our clients have a right to:
- Quality and timely services
- Courtesy and respect
- Information
- Lodge complaints
We encourage our clients to give us feedback on services rendered to enable us improve on quality of our service delivery.
SERVICE DELIVERY MATRIX
S/N | SERVICE | REQUIREMENTS | COST | TIMELINE |
1. | Customer Enquiries | · Identification (ID/Passport/Driving License, Tel. No)
· Registration |
Free | Within 5 minutes |
2. | Acknowledgement of customer complaints | Report of the complaint | Free | Within a day |
3. | Resolution of customer complaints | Record of the complaint | Free | Within 7 days |
4. | ICT and communication equipment service and maintenance | · Preparation of equipment maintenance schedule
· SLAs with vendors |
Free/cost of equipment replacements | Quarterly |
5. | ICT and communication equipment
Repair |
Generate a ticket/ request;
Budget availability
|
Equipment cost | Within 3 days. |
6. | Preparation of specifications of ICT and communication equipment | Written approved request;
|
Free | Within 2 days. |
7. | Request for new e–mail access accounts; | Written request;
Call from user; Log on the help desk; |
Free | Within 30 minutes |
8. | Uploading of documents on the website | Approved request;
An email; Log on the help desk; Soft copy of the document |
Free | Within a day |
9. | User Support
Requests |
- Written request;
- Call or text message; - Log on the help desk |
Free | Within 30 minutes |
10. | User training
|
- Approved request
- Facilitation of training
|
Free | Within two (2)
weeks from time of receipt of request |
11. | Enhance access to information from the County Government to the public | Approved requests
|
Free | Within 24 hours |
JAMHURI YA KENYA
SERIKALI YA GATUZI LA KAKAMEGA
WIZARA YA TEKNOLOJIA, SERIKALI YA KIELEKTRONIKI NA MAWASILIANO
MALENGO
Kuwa gatuzi linaloongoza katika huduma ya kiteknolojia, kielektroniki na mawasiliano kote nchini.
MAONO
Kuwezesha gatuzi kutoa hudumu bora kwa wananchi wake kupitia mifumo ya uvumbuzi wa kiteknolojia
MaMLAKA
Kubuni, kuunda na kutekeleza mifumo ya kiteknolojia, elektroniki na mawasiliano iliyo na dhamira ya kuboresha utoaji hudumu.
maadili ya kimsingi:
- Uajibikaji
- Huduma katika muda mwafaka na Uwazi
- Utaaluma
- Uadilifu, Uvumbuzi na Ujumuishaji
- Malengo kwa Wateja
MAJUKUMU YA KIMSINGI
- Kubuni, kufasiri, kutekeleza na kufanya mapitio katika kanuni, mielekeo na viwango katika teknolojia, elektroniki na mawasiliano;
- Kutoa ushauri kwa serikali ya ugatuzi kuhusu maswala yanayojihusha na teknolojia, elektroniki na mawasiliano;
- Kuwezesha upatikanaji wa huduma za serikali kupitia teknolojia, elektroniki na mawasiliano;
- Kuimarisha utangamano na washikadau;
- Kukuza uvumbuzi na biashara kupitia teknolojia;
- Kuanzisha, kuendeleza, kutunza na kuimarisha matumizi ya miundo-misingi na mifumo ya kiteknolojia;
AHADI
- Uadilifu na uhifadhi data na habari za kaunti katika usiri wa kiusalama;
- Uwazi na uwajibikaji;
- Kushikilia kiwango cha juu cha maelewano na wateja na washikadau;
- Miundo-misingi na mifumo tegemezi na bora ya kiteknolojia yenye kukuza ushirikiano na washikadau wengine;
- Matumizi mema ya mitambo inayojiendesha ya kaunti kutoa huduma
WAJIBU WA WATEJA WETU
Ili kuafikia utoaji wa huduma bora, wateja wetu wana wajibu wa;
- Kujifahamisha na sera, kanuni na miongozo inayohusiana na huduma tuzitoazo;
- Kutoa habari kamilifu na sahihi kuhusu hudumu inayohitajika;
haki ya wateja wetu
Wateja wetu wana haki ya kupata:
- Huduma bora na kwa wakati mwafaka
- Heshima na taadhima
- Habari
- Kutoa tetesi
Tunawahimiza wateja wetu kurejesha majibu kuhusu huduma tuitoayo ili kutuwezesha kuiboresha zaidi
HUDUMA KATIKA JEDWALI
NA. | HUDUMU | MAHITAJI | GHARAMA | MUDA |
1. | Maulizio ya wateja | Kujitambulisha
|
Bila malipo | Ndani ya kipindi cha dakika 5 |
2. | Majibu kwa tetesi za wateja
|
Ripoti ya mlalamishi | Bila malipo | Ndani ya kipindi cha siku 1 |
3. | Marekebisho ya vifaa vya teknolojia na mawasiliano | · Ratiba ya maandalizi ya ukarabati wa mitambo
· SLAs na wanunuzi
|
Bila malipo/gharama ya mitambo ya ukarabati | Kila baada ya robo ya mwaka |
4. | Ukarabati wa vifaa vya teknolojia na mawasiliano | Andaa tiketi/ ombi
Uwepo wa makadirio ya bajeti
|
Gharama ya mitambo | Ndani ya kipindi cha siku 5 |
5. | Maandalizi ya vifaa mahsusi vya teknolojia na mawasiliano
|
Ombi la maandishi liloidhinishwa
|
Bila malipo | Ndani ya kipindi cha siku 2. |
6. | Ombi la ufunguzi wa baruapepe mpya; | Ombi andishi;
Simu kutoka kwa mtumizi; Rekodi ya mtandao katika dawati la hisani;
|
Bila malipo | Ndani ya dakika 30 |
7. | Kuweka habari kwenye tuvuti | Ombi lililoidhishwa
Simu kwa mtumizi Rekodi ya mtandao katika dawati la hisani; Mfumo wa mitandao wa stakabadhi
|
Bila malipo | Ndani ya siku 1 |
8. | Ombi saidizi la mtumizi
|
- Ombi andishi;
- Kukiriza simu ama arafa; - Rekodi ya mtandao katika dawati la hisani;
|
Bila malipo | Ndani ya dakika 30 |
9. | Mafunzo saidizi ya mtumizi | Ombi lililoidhishwa
Uwezeshaji wa mafunzo
|
Bila malipo | Ndani ya majuma 2 kutoka siku ya mapokezi ya ombi |
10. | Kuwesha upatikanaji wa habari kutoka kwa serikali ya kaunti hadi kwa umma
|
Maombi yaliyoidhinishwa
|
Bila malipo | Ndani ya siku 24 |